Karibu Seven Hit


Seven Hit ni nyumba Ya burudani, Seven Package, simulizi, mahojiano na stori zinazotikisa mitandao.

Tunakuletea habari moto, matukio ya kusisimua, visa vya kweli na maudhui yenye kuburudisha, kuelimisha na kukufanya usikose episode yoyote.

🎬 Seven Package
📖 Simulizi zenye mafunzo na burudani
🎤 Mahojiano maalum
🔥 Habari na matukio yanayotrend

Tunapakia video mpya kila wiki kwa ubora wa hali ya juu.

Subscribe sasa, washa alama ya kengele na uwe sehemu ya familia ya Seven Hit.

"Kila stori ina upande wake, sisi tunakuletea upande unaovutia zaidi."