Karibu Seven Hit
Seven Hit ni nyumba Ya burudani, Seven Package, simulizi, mahojiano na stori zinazotikisa mitandao.
Tunakuletea habari moto, matukio ya kusisimua, visa vya kweli na maudhui yenye kuburudisha, kuelimisha na kukufanya usikose episode yoyote.
π¬ Seven Package
π Simulizi zenye mafunzo na burudani
π€ Mahojiano maalum
π₯ Habari na matukio yanayotrend
Tunapakia video mpya kila wiki kwa ubora wa hali ya juu.
Subscribe sasa, washa alama ya kengele na uwe sehemu ya familia ya Seven Hit.
"Kila stori ina upande wake, sisi tunakuletea upande unaovutia zaidi."
Seven Hit
βUSIKU WA LEO, MALAIKA WATASHUKAβ¦β πͺ½βοΈπ
S2Kizzy ametangaza usiku mkubwa unaokuja, akiahidi muziki mkubwa na usiku wa kipekee! ππ
π BIGGEST NIGHT EVER!
βοΈ MALAIKA β TODAY AT MIDNIGHT!
Mashabiki, mko tayari? π₯π₯π₯
CANβT WAIT! ππͺπ
1 month ago | [YT] | 0
View 0 replies
Seven Hit
Usiku wa Ngende
βͺ@smatafidraβ¬
1 month ago | [YT] | 1
View 1 reply
Seven Hit
Hatimaye #Zuchu amejifungua salama mtoyo wa kike, #DiamondPlatnumz amepiga selfie na kushea akiwa naye Labor.
Wape hongera
1 month ago (edited) | [YT] | 2
View 0 replies
Seven Hit
Vinicius Jr akiwa na Mpenzi wake mapumzikoni.π§π·β€οΈ
1 month ago | [YT] | 3
View 0 replies
Seven Hit
JEZI MPYA YA SIMBA II HAPA π₯π₯π₯
1 month ago | [YT] | 2
View 0 replies
Seven Hit
Mahaba Yamepaliliwa #ZUCHU πΈ
#DiamondPlatnumz π¦
1 month ago | [YT] | 5
View 0 replies
Seven Hit
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imeandika historia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Afrika Kusini katika mchezo wa ufunguzi wa hatua ya makundi wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026).
Twiga Stars walionyesha kiwango cha juu cha ushindani, nidhamu na matumizi mazuri ya nafasi walizopata, jambo lililowezesha kuondoka na pointi tatu muhimu dhidi ya mabingwa hao wa Afrika.
Ushindi huo unaongeza matumaini ya Tanzania kufanya vizuri katika michuano hiyo na kujiweka katika nafasi nzuri ya kuwania kufuzu hatua inayofuata.
1 month ago | [YT] | 1
View 0 replies
Seven Hit
Vini Jr. enjoying his vacation. ποΈπ§π·
2 months ago | [YT] | 6
View 0 replies
Seven Hit
Abigail Chams Again The Arrow Girl πΉπ₯°
3 months ago | [YT] | 6
View 0 replies
Seven Hit
Norway Wapo Tayali kwa Kombe la Dunia
3 months ago | [YT] | 3
View 0 replies
Load more