naitwa jacksonny tusekeleghe mwasile
au nabii tusekeleghe mwasile>alimaarufu kama JAY VOICE45 T < kwajin la youtube n kimziki
nikijana kutokea 📌MBEYA VIJIJINI>ILEMBO >umalila
nashukuruni wote
mnao ni support na kunifanya niendelee kuwika
ahsante nteni sanaa🙏🙏
pia nipo na mwanangu wanguvu
EZEKIER YOHANNA MWALUANDA akifahamika kama EZER ONE KILLER
tukiwa tuna songa kama >KING OF MUSIC> (K.O.M)