naitwa jacksonny tusekeleghe mwasile
au nabii tusekeleghe mwasile>alimaarufu kama JAY VOICE45 T < kwajin la youtube n kimziki
nikijana kutokea 📌MBEYA VIJIJINI>ILEMBO >umalila
nashukuruni wote
mnao ni support na kunifanya niendelee kuwika
ahsante nteni sanaa🙏🙏
pia nipo na mwanangu wanguvu
EZEKIER YOHANNA MWALUANDA akifahamika kama EZER ONE KILLER
tukiwa tuna songa kama >KING OF MUSIC> (K.O.M)


jay voice45 tz

Nawataarifu ma fans/ mashabiki zangu nakuwa naachia wimbo mpya so mda nina imani uta furahia😂😂😂 naombeni sapport yenu kwa ku subscribe💪,share💯 na ku commend📝🙏🙏

1 year ago | [YT] | 2