Karibu kwenye jukwaa Namba Moja kwa wafanyabiashara, wajasiriamali na Wauzaji wa bidhaa tofauti kujifunza njia tofauti za uhakika za kukuza biashara yeyote mtandaoni.


Jina langu ni Haika Dismas ni mjasiriamali, muuzaji na muandaaji wa maudhui ambayo nimejifunza baada ya kufanya biashara mtandaoni


Naamini kutafuta masoko/kufanya mauzo ni jambo muhimu sana kwenye kila biashara katika kufanikiwa na hii ndio maana halisi ya hili jukwaa hili.


Kukusaidia wewe kukuza biashara yako vizuri na kufahamu njia za kisasa za kufanya mauzo ili uweze kuwasaidia wengi kutokana na huduma/bidhaa yako na kujiingizia pesa.


Email: businesseaglesstartup@gmail.com


11:06

Shared 11 months ago

233 views