Karibu kwenye jukwaa Namba Moja kwa wafanyabiashara, wajasiriamali na Wauzaji wa bidhaa tofauti kujifunza njia tofauti za uhakika za kukuza biashara yeyote mtandaoni.


Jina langu ni Haika Dismas ni mjasiriamali, muuzaji na muandaaji wa maudhui ambayo nimejifunza baada ya kufanya biashara mtandaoni


Naamini kutafuta masoko/kufanya mauzo ni jambo muhimu sana kwenye kila biashara katika kufanikiwa na hii ndio maana halisi ya hili jukwaa hili.


Kukusaidia wewe kukuza biashara yako vizuri na kufahamu njia za kisasa za kufanya mauzo ili uweze kuwasaidia wengi kutokana na huduma/bidhaa yako na kujiingizia pesa.


Email: businesseaglesstartup@gmail.com


Haika Dismas

FURSA KWA WAFANYABIASHARA WANAOHITAJI KUNUNUA BIDHAA NJE YA NCHI !!

Karibu kwenye program yetu ya madarasa ya kujifunza jinsi ya KUFANYA MANUNUZI YA BIDHAA MTANDAONI KUTOKA UCHINA NA KUKUZA BIASHARA YAKO ONLINE

Kupitia Darasa hili utajifunza

βœ…JINSI YA KUNUNUA BIDHAA KUTOKA VIWANDANI NCHINI CHINA

βœ…UCHAMBUZI WA BIDHAA NA MASOKO

βœ…UUZAJI NA MASOKO YA BIDHAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Unapata:
Masomo ya Video kukuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kufanya manunuzi kutoka China Viwandani

Kuwa kwenye Group Letu Ndani ya miezi sita (6) tukisimamina manunuzi ya mizigo yako kutoka china na kukusafirishia mpata ulipo

PIGA SIMU KWA MAWASILIANO ZAIDI
0753209244

πŸ“. OFISI ZIPO
TUNAPATIKANA MWANANYAMALA KARIBU NA SOKONI

Naomba ushare page yetu kwa marafiki na wao wapate kujifunza

.

.

.

#wafanyabiashara #tanzania #biashara #wanawake #wajasiliamali #wajasiriamali #nyumba #ilala #jiajiri #daresalaam #ajira #michezo #ujasiriamali #biasharandogondogo #waalimu #temeke #makumbusho #mjasiriamali #tuagizeltd #wateja #biasharaconnections #tanzaniayaviwanda #buza #viwandavidogovidogo #thebridgetz #viwanda #tunduru #kinondoni #vyombo #tuagizepamoja

2 years ago | [YT] | 4

Haika Dismas

FURSA KWA WAFANYABIASHARA WANAOHITAJI KUNUNUA BIDHAA NJE YA NCHI !!

Karibu kwenye program yetu ya madarasa ya kujifunza jinsi ya KUFANYA MANUNUZI YA BIDHAA MTANDAONI KUTOKA UCHINA NA KUKUZA BIASHARA YAKO ONLINE

Kupitia Darasa hili utajifunza

βœ…JINSI YA KUNUNUA BIDHAA KUTOKA VIWANDANI NCHINI CHINA

βœ…UCHAMBUZI WA BIDHAA NA MASOKO

βœ…UUZAJI NA MASOKO YA BIDHAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Unapata:
Masomo ya Video kukuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kufanya manunuzi kutoka China Viwandani

Kuwa kwenye Group Letu Ndani ya miezi sita (6) tukisimamina manunuzi ya mizigo yako kutoka china na kukusafirishia mpata ulipo

PIGA SIMU KWA MAWASILIANO ZAIDI
0753209244

πŸ“. OFISI ZIPO
TUNAPATIKANA MWANANYAMALA KARIBU NA SOKONI

Naomba ushare page yetu kwa marafiki na wao wapate kujifunza

.

.

.

#biashara #tanzania #ujasiriamali #daressalaam #arusha #biasharaconnections #wajasiriamali #diamondplatnumz #dodoma #mwanza #nyumba #bidhaatz #mbeya #mjasiriamali #zanzibar #business #matangazo #kenya #fursa #fashion #kilimo #wanawake #ujasiriamalitanzania #tanzaniaweddings #elimu #daresalaam #ajira #bongo #udaku #wanawaketunaweza

2 years ago | [YT] | 3

Haika Dismas

Je, unatamani kuagiza bidhaa kutoka China/ nje ya nchi wewe mwenyewe?

Kama huwa unapenda ama unaskia au unatamani kuagiza mizigo china au nje ya nchi basi hapa ndio mahali pako.

BUSINESS EAGLES STARTUP tumekuandalia mafunzo ambayo yakutasaidia kujifunza yafuatayo :

Kwanza kabla sijaendelea, nikupe pole wewe uliyepatwa na hili janga la kutapeliwa huku mtandaoni juu ya kutaka kuagiziwa mizigo nje ya nchi au china, huenda ukawa bado una maumivu juu ya changamoto uliyoipata.

Sasa leo inaweza kuwa ndio mwanzo wa kufuta kilio na manunguniko yaliyojaa moyoni mwako na pengine ukafungua njia ya wewe kuanza kufanya vitu vyako wewe binafsi.

Kuna darasa fupi ambalo utaelekezwa jinsi ya kujua kuzitumia website gani ambazo ni rahisi kuagiza bidhaa kutoka Nchi kama UCHINA , DUBAΔ° NA UTURUKI pamoja na masoko mengine ya mtandaoni.
Darasa hili utaelekezwa kwanzia wale suppliers wa nje ambao sio wasumbufu kwa lugha ingine wazinguaji.

Darasa hilo halitaishia hapo utapata na nafasi ya kuendelea kuelekezwa endapo utakwama kwenye kuagiza mzigo wako yaani kama utakuwa unapata shida ya kuagiza basi unaweza saidiwa ufanye ni na nini ili uweze kuagiza mzigo wako SUCCESSFULLY.

Vitu ambavyo unaweza kujifunza kwenye hilo darasa.
1: Jinsi ya kuwajua Verified Suppliers kutoka ali express na alibaba.
2: Jinsi ya kufahamu maAGENT wa kusafirisha mizigo kutoka nchi za UCHINA na nchi zingine.
3: Kuyajua machimbo mbalimbali kama simu, nguo, viatu, n.k
4: Kujenga uhusiano mzuri na watu wengine tunaita COMMUNITY.
5: Unaweza kujifunza lugha mbalimbali wewe binafsi kupitia application.
6: Mwisho kabisa kupata account verified ya WeChat.

Ila mwisho kabisa makala hiii sio kwa ajili ya kumuagizia mtu mzigo kutoka nje ya nchi, ila ni kwa ajili ya mtu kujifunza na akaweza kujinunulia bidhaa zake nje ya nchi.

Natamani kujua experience yako katika kuagiza bidhaa nje ya Nchi kwenye comments πŸ€¦β€β™€οΈ


KUJIUNGA NA GROUP LETU πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


chat.whatsapp.com/Domv3foi752Ij7eni37e8n

2 years ago | [YT] | 2

Haika Dismas

SASA MAFUNZO YOTE YANAPATIKANA KWA VΔ°DEO YA HATUA KWA HATUA JINSI YA KUNUNUA BIDHAA MTANDAONI

Nafahamu ilikuwa changamoto sana kuelewa darasa kwa kutumia zoom/google meet kutokana na maoni yenu tayari tumelifanyia kazi !!

Kwa sasa utapata Video ya mafunzo ya hatua kwa hatua za kufata wakati wa manunuzi ya bidhaa yako mtandaoni.

Baada ya kutazama video hizi tutakuunganisha kwa group ambalo kila jumapili tutafanya majadiliano kuusu manunuzi ya bidhaa na ushauri

PROGRAM HII NI YA MIEZI SITA

Baada ya muda huu natumaini utakuwa umefikia Lengo lako

ADA 30,000 Tsh

PIGA 0753209244 AU +255 712 620 048

KWA MASWALI UNAWEZA NITUMIA UJUMBE DM KUHUSU KUANZA BIASHARA NA UAGIZAJI WA BIDHAA

2 years ago | [YT] | 1

Haika Dismas

FURSA KWA WAFANYABIASHARA WANAOHITAJI KUNUNUA BIDHAA NJE YA NCHI !!

Karibu kwenye Programu yetu ya tujifunze pamoja kufanya biashara mtandaoni

Kupitia Darasa hili utajifunza

πŸ‘‰ JINSI YA KUNUNUA BIDHAA KUTOKA VIWANDANI NCHINI CHINA

πŸ‘‰ UCHAMBUZI WA BIDHAA NA MASOKO

πŸ‘‰ UUZAJI NA MASOKO YA BIDHAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

ADA YA DARASA 30,000 Tsh

Unapata:
Masomo ya Video kukuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kufanya manunuzi kutoka China Viwandani

Kuwa kwenye Group Letu Ndani ya miezi sita (6) tukisimamina manunuzi ya mizigo yako kutoka china na kukusafirishia mpata ulipo

PIGA SIMU KWA MAWASILIANO ZAIDI
0712 620048

πŸ“. OFISI ZIPO
TUNAPATIKANA MWANANYAMALA KARIBU NA SOKONI

Naomba ushare page yetu kwa marafiki na wao wapate kujifunza

2 years ago | [YT] | 5

Haika Dismas

Wapendwa leo tutakuwa na darasa la kujifunza kuagiza bidhaa kutoka Alibaba
Jioni saa kumi adi saa 11

Tutajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kumkagua supplier ambaye ni sahihi, jinsi ya kuawasiliana nae hadi mzigo wako unafika bandari ya Dar es Salaam

Endapo utahitaji kuwepo Kwenye group na darani leo basi wahi siti yako mapema Nitumie ujumbe WhatsApp kabla ya muda kufika 0753209244

.

.

#biashara #tanzania #ujasiriamali #daressalaam #arusha #biasharaconnections #wajasiriamali #diamondplatnumz #dodoma #mwanza #nyumba #bidhaatz #mbeya #mjasiriamali #zanzibar #business #matangazo #kenya #fursa #fashion #kilimo #wanawake #ujasiriamalitanzania #tanzaniaweddings #elimu #daresalaam #ajira #bongo #udaku #wanawaketunaweza

2 years ago | [YT] | 4

Haika Dismas

Wateja wetu wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuagiza bidhaa mtandaoni na kukabiliana na gharama kubwa za kodi na ushuru wanapotoa mzigo wao kwenye vituo vya usafirishaji kama bandari, uwanja wa ndege, au vituo vya mpakani.

Bei za bidhaa kutoka kwa wauzaji mtandaoni huwa nafuu na huvutia wateja kuagiza. Hata hivyo, kabla ya kuagiza, ni muhimu kufahamu gharama halisi za kutoa mzigo nchini ili kuweza kupanga bajeti ipasavyo. Kupata ushauri kutoka kwa wakala wa forodha au wataalamu wa masuala ya usafirishaji kunaweza kusaidia katika hili.

Takwimu zinaonyesha kuwa wajasiriamali na wafanyabiashara wengi, hasa wale wasio na uzoefu, wanakumbana na hasara kubwa kutokana na kutokumudu gharama za kutoa mizigo yao kutoka vituo vya usafirishaji au kutokuwa na pesa za kutosha.

Hivyo basi, swali la kufikirisha ni kwa nini mizigo mingi inakwama bandarini na kwa nini baadhi ya watu au makampuni hushindwa kuchukua mizigo yao na kulazimika kuuzwa kwenye mnada?

2 years ago | [YT] | 3

Haika Dismas

🌟 Habari wafanyabiashara! Je, unatamani kufahamu siri za mafanikio katika biashara ya kuagiza kutoka China Alibaba? 🌍 Hii ni fursa yako ya kipekee kujifunza mbinu na mikakati kutoka kwa wataalamu katika ulimwengu wa biashara ya kimataifa. πŸš€

Kupitia kozi yangu, utapata:
βœ… Mwongozo wa hatua kwa hatua kuanzia kuchagua bidhaa mpaka kuwasiliana na wauzaji wa China Alibaba.
βœ… Ufahamu wa jinsi ya kufanya utafiti wa soko na kuchagua bidhaa zenye uhitaji mkubwa.
βœ… Mbinu za mazungumzo na mazungumzo ya biashara ili kupata bei bora na masharti mazuri.
βœ… Mafunzo juu ya jinsi ya kufuatilia usafirishaji na kuhakikisha bidhaa zako zinawasili salama.

Usikose fursa hii ya kuinua biashara yako! πŸ’ΌπŸ’ͺ Bonyeza kiunga kwenye bio yangu kupata maelezo zaidi na kujiunga na kozi hii ya thamani. Au tuma ujumbe wa moja kwa moja (DM) kwa maelezo zaidi. Jiunge nasi leo na uanze safari yako ya mafanikio katika biashara ya kuagiza kutoka China Alibaba! 🌟

#KoziYaBiashara #KuagizaKutokaChina #ChinaAlibaba #Mafanikio #wajasiriamali

2 years ago | [YT] | 3

Haika Dismas

MAMBO MAKUU MATANO YSNSYOFANYA UPOTEZE PESA YAKO ALIBABA.


Alibaba ni jukwaa kubwa la biashara ya elektroniki ambalo linaweza kuwa na fursa nyingi za kufanya biashara na kupata faida. Hata hivyo, kuna mambo kadhaa ambayo yanaweza kusababisha upotevu wa pesa kwenye jukwaa hilo ikiwa hatua sahihi hazitachukuliwa. Hapa kuna mambo matano muhimu ambayo yanaweza kusababisha upotevu wa pesa yako kwenye Alibaba






#biashara #agizabidhaachina #tanzania #alibaba

2 years ago | [YT] | 2

Haika Dismas

Habari wapendwa! Leo napenda kuzungumzia suala la bei halisi ya Alibaba. Je, bei ya Alibaba ni halisi au la? Hapa kuna jibu fupi: Ndio, bei ya Alibaba ni halisi!

Alibaba ni jukwaa kubwa la biashara mtandaoni ambalo linawezesha wanunuzi na wauzaji kutoka duniani kote kufanya biashara. Inatoa fursa ya kununua bidhaa kwa bei nzuri na kutimiza mahitaji ya biashara yako.

Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba bei inaweza kutofautiana kulingana na aina ya bidhaa, ubora, kiasi, na gharama za usafirishaji. Ni vyema kufanya utafiti wa kina na kulinganisha bei kabla ya kufanya ununuzi.

Kwa hivyo, ili kufaidika na manunuzi yako kwenye Alibaba, hakikisha kuchunguza maelezo ya bidhaa, hakiki za wateja, na kushirikiana na wauzaji wenye sifa nzuri.

Je, umewahi kununua bidhaa kwenye Alibaba? Tafadhali shiriki uzoefu wako na tutumie maoni yako hapo chini!

Kujiunga kwenye programu yetu ya group la whatsups kujifunza zaidi tutumie ujumbe kwa namba hizi

πŸ“ž +πŸπŸ“πŸ“πŸ•πŸ“πŸ‘πŸπŸŽπŸ—πŸπŸ’πŸ’

#Alibaba #ManunuziMtandaoni #BeiHalisi #Biashara

2 years ago | [YT] | 6