š—¢š—“š—¼š—½š—® š—žš—¼š—½š—®

š—¢š—šš—¢š—£š—” š—žš—¢š—£š—” š—–š—Ÿš—”š—¦š—¦š—œš—– š—•š—”š—”š—— (š—¢š—žš—–š—•)

Karibu kwenye channel yetu ya YouTube, mahali ambapo tunakuletea ladha ya kipekee ya mziki wa Taarab kutoka Afrika Mashariki Tanzania! Tunaleta burudani ya kuvutia na ya kusisimua, ikichanganya sauti zenye utajiri wa tamaduni za Kiafrika na muziki wa asili wa Tanzania. Kutoka kwa nyimbo za jadi hadi muziki wa kisasa. Usikose kujiunga na familia yetu kwa Ku-Subscribe na kubofya kengele itakayotokea kulia kwako ili uweze kupata taarifa kila tunapopandisha burudani mpya mtandaoni ili uwezo kuchangia katika kukuza na kudumisha utamaduni wetu wa Kiafrika kupitia mziki wetu wa Taarab. Asante sana!"šŸ™šŸæ

š—¦š˜‚š—Æš˜€š—°š—æš—¶š—Æš—² š—”š—¼š˜„šŸ‘‡šŸ» youtube.com/channel/UC7klEXglBiPRb54AvolKLVw?sub_c…

š—™š—¼š—æ š—•š—¼š—¼š—øš—¶š—»š—“: š—–š—¼š—»š˜š—®š—°š˜
š—™š—¼š—¹š—¹š—¼š˜„ š—¢š—“š—¼š—½š—® š—øš—¼š—½š—® š—¢š—»:
šˆš§š¬š­ššš š«ššš¦:www.instagram.com/officialkhadijakopa/
š…šššœšžš›šØšØš¤:www.facebook.com/TeamMashambulizi/

Copyright Ā©ļø2015 OGOPAKOPA. All rights reserved.