𝗢𝗚𝗢𝗣𝗔 𝗞𝗢𝗣𝗔 𝗖𝗟𝗔𝗦𝗦𝗜𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗗 (𝗢𝗞𝗖𝗕)
Karibu kwenye channel yetu ya YouTube, mahali ambapo tunakuletea ladha ya kipekee ya mziki wa Taarab kutoka Afrika Mashariki Tanzania! Tunaleta burudani ya kuvutia na ya kusisimua, ikichanganya sauti zenye utajiri wa tamaduni za Kiafrika na muziki wa asili wa Tanzania. Kutoka kwa nyimbo za jadi hadi muziki wa kisasa. Usikose kujiunga na familia yetu kwa Ku-Subscribe na kubofya kengele itakayotokea kulia kwako ili uweze kupata taarifa kila tunapopandisha burudani mpya mtandaoni ili uwezo kuchangia katika kukuza na kudumisha utamaduni wetu wa Kiafrika kupitia mziki wetu wa Taarab. Asante sana!"🙏🏿
𝗦𝘂𝗯𝘀𝗰𝗿𝗶𝗯𝗲 𝗡𝗼𝘄👇🏻 youtube.com/channel/UC7klEXglBiPRb54AvolKLVw?sub_c…
𝗙𝗼𝗿 𝗕𝗼𝗼𝗸𝗶𝗻𝗴: 𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁
𝗙𝗼𝗹𝗹𝗼𝘄 𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗸𝗼𝗽𝗮 𝗢𝗻:
𝐈𝐧𝐬𝐭𝐚𝐠𝐫𝐚𝐦:www.instagram.com/officialkhadijakopa/
𝐅𝐚𝐜𝐞𝐛𝐨𝐨𝐤:www.facebook.com/TeamMashambulizi/
Copyright ©️2015 OGOPAKOPA. All rights reserved.
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
🎶 Familia yangu, leo ni siku ya kuamua! 🔥
Kati ya "Tuko Benet" na "Ebwana Ndio", ni wimbo gani umeuchagua uwe kwanza kuachiwa kati ya hizi? 👀👇
Piga kura kwenye comments ili tutangaze mshindi na tutambulishe kazi.🎤💯
#TeamYangu #NewMusic
1 month ago | [YT] | 2
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
Usikose usiku wa kipekee wa Raha za Pwani Magomeni ukishirikisha Ogopa Kopa Band! 🎶🔥
Tukutane Jumamosi tarehe 16 Mei 2026 saa 1:00 usiku katika Simba Oil Hall. Dress code ni Sare. Karibu tufurahie burudani ya nguvu pamoja!
#FagiaJiji
@rahazapwanitz Magomeni : Sare Zinapatikana kwa @kamshange_tz, @sada_make_up, @kupa_the_don & @shuusalon #RahaZa PwaniMagomeni #TanzaniaWomenin Taarab : Photo Shoot Details: Outfits by @2colections_dubai , MakeUp by @sada_make_up, Heena by @ishermakeuphenna
2 months ago | [YT] | 3
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
🔥 Exclusive vibes zinakuja! 🔥
Usikose mahojiano moto na Kopa Junior kwenye Spice FM 🎙️ — ni swaga, ni vibes, ni story kali! 💯😎
Tune in Jumatatu March 30/2023, 7PM–10PM, Pambee! 🌴✨
#kopajunior #spicefm #zanzibar
3 months ago | [YT] | 6
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
Kwa masikitiko makubwa na majonzi yasiyo na kifani,
Ogopa Kopa inasikitika kutangaza kifo cha msanii wetu mpendwa,
Shadya Othman, maarufu kwa jina la sanaa Shadya Shombeshombe,
ambaye ametutoka mchana wa leo.
Shadya alikuwa sauti ya kipekee na alama katika muziki wa taarab.
Kupitia nyimbo zake, aligusa nyoyo za wengi na kuacha alama isiyofutika katika sanaa ya muziki wa mwambao.
Kwa wapenzi wa taarab na wanamuziki wenzake, huu ni msiba mzito mno.
Tunawaomba ndugu, jamaa, marafiki, mashabiki wa taarab na wanamuziki wote kuungana nasi katika kipindi hiki cha majonzi.
Taarifa kamili kuhusu utaratibu wa maziko tutaitoa mara baada ya mipango kukamilika.
Shadya Shombeshombe, pumzika kwa amani.
Sauti yako itabaki kuishi katika mioyo yetu. 🕊️🎶
1 year ago | [YT] | 1
View 1 reply
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
Asanteni sana wapenzi wetu🙏🏼❤️
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
https://youtu.be/RLEmSmP_8sw
3 years ago | [YT] | 1
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
https://youtu.be/qD1mJmiJLt4
3 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
https://youtu.be/oiDVlfuDrT8
3 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
https://youtu.be/VscsVPQl85M
3 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
𝗢𝗴𝗼𝗽𝗮 𝗞𝗼𝗽𝗮
https://youtu.be/NLSNUBgXBbs
3 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Load more