Video za habari na matukio duniani kutoka BBCSwahili.com


BBC News Swahili

Kwa maelfu ya miaka, wanawake walizoea kujifungua wakiwa wamesimama au katika mkao wa wima iwe kwa kupiga magoti, kutumia viti maalum vya kujifungulia au kuchuchumaa.
Kusoma zaidi taarifa hii bofya www.bbc.com/swahili/articles/c62jley7w85o

2 days ago | [YT] | 134

BBC News Swahili

Usitishaji vita kati ya Israel na Lebanon waanza. Pata habari,uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako πŸ‘‰πŸ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vagu...

2 days ago | [YT] | 16

BBC News Swahili

Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) Julius Malema, 45, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela katika mahakama ya nchini Afrika Kusini.

3 days ago | [YT] | 107

BBC News Swahili

Mazungumzo Israel na Lebanon yanaendeleaje?. Pata habari,uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako πŸ‘‰πŸ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vagu...

3 days ago | [YT] | 5

BBC News Swahili

Linda Gacheri anafanyakazi ya kuhifadhi na kutunza maiti, Je amekuwa akikutana na yapi katika maisha yake ya kawaida? Sikiliza mahojiano haya kwa kina katika ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili https://youtu.be/-qWDlG9dm20

4 days ago | [YT] | 88

BBC News Swahili

Trump adokeza mazungumzo huenda yakarejelewa. Pata habari,uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako πŸ‘‰πŸ‘‰whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

4 days ago | [YT] | 17

BBC News Swahili

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja limesema linaendelea kumuhoji Joseph Maccan na hati yake ya kusafiria imezuiliwa kufuatia kifo cha mshawishi wa mtandaoni Ashly Robinson maarufu kama Ashlee Jenae.

5 days ago | [YT] | 78

BBC News Swahili

Pata habari,uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako πŸ‘‰πŸ‘‰ whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

5 days ago | [YT] | 16

BBC News Swahili

Wazazi wa Ashly wanaendelea kutafuta majibu kuhusu kifo cha binti yao.
Unaweza kusoma taarifa hii kwa kubofya:

www.bbc.com/swahili/live/c4gddv3r8rxt

www.instagram.com/p/DXGk_LmDRB7/?img_index=1

5 days ago | [YT] | 85

BBC News Swahili

β€œSitaki kujibizana na Trump, simuogopi” Unaweza kusom taarifa hii kwa kubofya www.bbc.com/swahili/live/cd0r372l4ngt

6 days ago | [YT] | 234