YouTube ya utamaduni wa Zanzibar hili ni kwa ajili ya wazawa,warizawa pamoja na waasili ya zanzibar.youtube hii imeundwa kwa ajili ya kuinua utamaduni wetu na kujua sehemu za utalii Zanzibar
NB GRUPU HILI LINA MALENGO YAKE KAMA VILE.
1) KUFANYA MATEMBEZI YA SEHEMU ZA KIHISTORIA
2) KUELIMISHA JAMII KUHUSIANA NA UTAMADUNI WETU
3) KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU WA ZANZIBAR KUJULIKANA ZAIDI KIMATAIFA
*ITAKUMBUKWA TU*
KUFANYA MASHIRIKIANO NI MUHIMU SANA BAINA YA ADMIN NA MEMBA WENGINE (UMOJA).