Karibu UAMSHO TV – Uamsho wa Tanzania! 🇹🇿✝️

Hii ni chaneli ya kipekee inayolenga kuamsha mioyo, fikra na imani kwa kupitia mafundisho ya dini, uzalendo wa kweli, na ufahamu wa majasusi wa Mbinguni wakiwa duniani.

Tunakuelimisha juu ya: 📖 Ukweli wa kiroho na mafundisho ya Biblia
🇹🇿 Maadili na misingi ya kizalendo kwa taifa la Tanzania
🕊️ Siri na majukumu ya watumishi wa Mungu (majasusi wa Mbinguni) katika dunia ya sasa

Jiunge nasi katika safari ya kiroho na kitaifa.
UAMSHO TV – Sauti ya Ufunuo na Ukombozi wa Taifa!

📌 Usisahau kusubscribe, kushiriki, na kuwasha kengele 🛎️ kwa mafundisho mapya kila wiki!


---


Uamsho Tv

KATI YA HAWA NANI ANAFAA KUWA RAIS 2025

1 year ago | [YT] | 29

Uamsho Tv

IBADA IKO LIVE

1 year ago | [YT] | 1

Uamsho Tv

ATAKUA LIVE LEO, ALISEMA ANARUDI TENA, NI LEO SAA SABAB MCHANA

1 year ago | [YT] | 34

Uamsho Tv

HEBU TUAMBIE UNAMCHUKULIAJE HUYO JAMAAA

1 year ago | [YT] | 41

Uamsho Tv

😂😂😂

1 year ago | [YT] | 5

Uamsho Tv

BISHOP GWAJIMA HAJACHUKUA FORM BADO!
unamshauri Nini Bishop GWAJIMA?

1 year ago | [YT] | 38

Uamsho Tv

UNAMWAMBIA JE HUYU MCHUNGAJI MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE TANZANIA
pst Daniel Eliya Mtishibi

1 year ago | [YT] | 26

Uamsho Tv

ALIYEAHIDI NI MWAMINIFU

1 year ago | [YT] | 71

Uamsho Tv

UNAMUONGELEA JE HUYU MWAMBA?

1 year ago | [YT] | 25

Uamsho Tv

WAHI MAPEMA KESHO

1 year ago | [YT] | 35