Karibu UAMSHO TV – Uamsho wa Tanzania! πŸ‡ΉπŸ‡ΏβœοΈ

Hii ni chaneli ya kipekee inayolenga kuamsha mioyo, fikra na imani kwa kupitia mafundisho ya dini, uzalendo wa kweli, na ufahamu wa majasusi wa Mbinguni wakiwa duniani.

Tunakuelimisha juu ya: πŸ“– Ukweli wa kiroho na mafundisho ya Biblia
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Maadili na misingi ya kizalendo kwa taifa la Tanzania
πŸ•ŠοΈ Siri na majukumu ya watumishi wa Mungu (majasusi wa Mbinguni) katika dunia ya sasa

Jiunge nasi katika safari ya kiroho na kitaifa.
UAMSHO TV – Sauti ya Ufunuo na Ukombozi wa Taifa!

πŸ“Œ Usisahau kusubscribe, kushiriki, na kuwasha kengele πŸ›ŽοΈ kwa mafundisho mapya kila wiki!


---