Mimi-Mbao-Cluster ni mradi wa kibunifu unaojishughulisha na uchapishaji wa picha na maandishi juu ya bidhaa za mbao, tukibuni personalized gifts zenye mvuto wa kipekee. Tunatengeneza bidhaa kama vikombe vyenye picha na maandishi ya kupendeza,saa za ukutani za mbao na aina nyingine za bidhaa za mbao, kulingana na mahitaji na ladha ya mteja.

Kupitia teknolojia ya kisasa ya printing na finishing bora, tunageuza picha zako, majina, logo au ujumbe maalum kuwa kazi ya sanaa inayoakisi ubora, uimara na uzuri wa asili wa mbao.

Huduma zetu zinafaa kwa matumizi mbalimbali ikiwemo zawadi za kumbukumbu, sherehe kama harusi, birthdays na anniversaries, pamoja na matangazo na branding ya biashara na kampuni. Mimi-Mbao-Cluster huamini katika ubunifu unaoacha alama na bidhaa zinazozungumza kwa niaba ya mteja.

Kwa ufupi, Mimi-Mbao-Cluster ni zaidi ya biashara; ni mahali ambapo mawazo na kumbukumbu zako hupata uhai juu ya mbao feel the art.


0:41

Shared 1 month ago

2 views

0:44

Shared 2 months ago

1 view

0:12

Shared 2 months ago

4 views

0:54

Shared 2 months ago

2 views

0:40

Shared 2 months ago

10K views

0:23

Shared 2 months ago

188 views

0:55

Shared 2 months ago

35 views

0:31

Shared 2 months ago

1 view

0:40

Shared 2 months ago

31 views

0:25

Shared 2 months ago

1 view

0:06

Shared 2 months ago

2 views

0:50

Shared 2 months ago

8 views

0:33

Shared 2 months ago

12 views

2:11

Shared 2 months ago

68 views

1:04

Shared 2 months ago

12 views

2:13

Shared 2 months ago

93 views

0:33

Shared 2 months ago

5 views

1:09

Shared 2 months ago

10 views

1:01

Shared 2 months ago

3 views

0:35

Shared 2 months ago

2 views

0:58

Shared 4 months ago

11 views

1:04

Shared 4 months ago

22 views