BibleProject inaandaa nyenzo za bure kukusaidia kujifunza Biblia. Kila kitu tunachoandaa kimefadhiliwa na watu wakarimu kutoka sehemu mbalimbali duniani. Unaweza kujifunza zaidi bibleproject.com/swahili au toa hapa bible.to/swa-c
Je, unazungumza lugha nyingine? Angalia video zetu, vipeperushi na mipango ya kujisomea vinavyopatikana kwenye lugha zaidi ya 50 hapa bibleproject.com/languages
Shared 2 years ago
913 views