ST. MARTIN DE PORRES CHOIR SAUT-MWANZA

TUMWIMBIE BWANA ... KATIKA ROHO NA KWELI
Channel hii ni maalumu kwaajili ya kwaya ya mtakatifu Martin De Porres inayohudumu katika chuo kikuu cha mtakatifu Augustino SAUT kilichopo Malimbe Mwanza.
Hivyo tunawakaribisha kutazama video zetu bila kusahau ku Like, Comment, Share na ku SUBSCRIBE channel yetu
Tunatanguliza Neno la Shukrani kwa wote wanaotizama video zetu Na Mwenyezi Mungu awabariki sanaπŸ™πŸ™πŸ™
Kwa Mawasiliano zaidi:

Mwenyekiti. +255 744 897 306
Katibu. +255 629 741 639
Mwalimu kiongozi +255 656 102 640
ASANTENI SANA.