Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Kuhusu TCRA
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi iliyoasisiwa kwa mujibu wa sheria yenye wajibu wa kudhibiti sekta ya Mawasiliano ya Kielektroni na Posta Tanzania.

DIRA YETU
Jamii iliyowezeshwa na huduma za mawasiliano.

DHAMIRA YETU
Kusimamia huduma za mawasiliano kwa ustawi wa Jamii ya Watanzania.

WAJIBU WETU
Wajibu wa Mamlaka ya Udhibiti Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni kudhibiti sekta ya mawasiliano na kielektroni na posta kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Namba 12 ya mwaka 2003


Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

KARIBU KWENYE CHANELI YA WhatsApp YA ‘TCRA TANZANIA’

Karibu katika ukurasa wetu wa “TCRA TANZANIA” upate taarifa mbalimbali kuhusu sekta ya Mawasiliano.

👉Taarifa (takwimu za sekta)
👉Dondoo (usalama mtandoni, haki na wajibu wako)
👉Fursa (kwa watoto,vijana,wabunifu, chipukizi)
👉Ushiriki ktk mashindano ya kitaifa na Kimataifa
👉Tuzo za kisekta (WSIS, ITU)

Bofya kiunganishi hiki ufuate chaneli ya “TCRA TANZANIA”👇
whatsapp.com/channel/0029VaLLhWD23n3WmjkYE23V

9 months ago | [YT] | 0

Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

📌Tunawatakia Jumatatu ya Pasaka Njema📌

#tcratz #mtandaonifursabakisalama #easter

1 year ago | [YT] | 4

Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Nywila (neno siri) ni taarifa nyeti katika ulimwengu wa kidijiti, ili kuhakikisha usalama wa taarifa zako. Nywila Thabiti inahushisha, herufi, namba na alama maalum kama, *Nyw1l@

#usalamamtandaoni #cybersafety #cybersecurity #tcratz #password #mtandaonifursabakisalama

1 year ago | [YT] | 1

Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Zimesalia siku 5 pekee kuifikia siku ya uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), jijini Arusha. 🏠🇹🇿 #PAPU2023Arusha

1 year ago | [YT] | 2

Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Zimesalia siku 10 pekee kuifikia siku ya uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), jijini Arusha. 🏠🇹🇿 #PAPU2023Arusha

1 year ago | [YT] | 1

Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Zimesalia siku 12 pekee kuifikia siku ya uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), jijini Arusha. 🏠🇹🇿

1 year ago | [YT] | 1

Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Zimesalia siku 13 pekee kuifikia siku ya uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), jijini Arusha. 🏠🇹🇿 #PAPU2023Arusha

1 year ago | [YT] | 1

Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Je wewe ni mwanafunzi wa Taasisi ya Elimu ya Juu nchini? Usajili wa Shindano la “CyberChampions” Tanzania 2022/23 umefunguliwa rasmi.

Jisajili leo! Kwa maelezo zaidi tembelea cyberchampions.tcra.go.tz/

2 years ago | [YT] | 1