Hii ni channeli kutoka Afrika inayojishughulisha na kuleta habari za aina zote kutoka siasa, burudani, sayansi, teknolojia, na zaidi. Tunakuletea taarifa mpya na za kusisimua ambazo zitakufanya uwe karibu na matukio yanayotokea duniani.

Usisahau ku-subscribe ili usipitwe na video zetu za kila wakati! Asante kwa kujiunga nasi katika safari hii ya habari na maarifa.