Video za habari na matukio duniani kutoka BBCSwahili.com


BBC News Swahili

Kwanini kande, mbege na machalari ni bora kuliko Pizza na Burger? Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania umebaini lishe ya asili ya Kiafrika ina faida kubwa kiafya kuliko lishe ya Kimagharibi. Unaweza kusoma zaidi www.bbc.com/swahili/articles/cg5qy1j92mgo

21 hours ago | [YT] | 39

BBC News Swahili

Panya Ronin amenusa mabomu 109 ya ardhini nchini Cambodia, na kuvunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa mabomu mengi ya ardhini yaliyogunduliwa na panya.Kusoma zaidi bofya bbc.in/44eJNib

3 days ago (edited) | [YT] | 84

BBC News Swahili

"Linahamasisha uhusiano wa kimapenzi usio wa kitamaduni,"
Shirika hilo lililoanzishwa mwaka 1992 na lenye makao yake nchini Marekani na U.K., linasema linafanya kazi katika zaidi ya nchi 90 za"kuongeza upatikanaji wa huduma za afya, kukabiliana na unyanyapaa wa LGBTQ+, na kukomesha UKIMWI." Kusoma zaidi bofya bbc.in/3XHnvl8

4 days ago (edited) | [YT] | 55

BBC News Swahili

"Tutaifanya Marekani kuwa kubwa na tajiri tena. Nchi yetu imedhulumiwa kwa zaidi ya miaka 50. Hilo halitafanyika tena." Unaweza kusoma zaidi taarifa hii kwa kubofya www.bbc.com/swahili/articles/cj0zj40vy9po

4 days ago | [YT] | 38

BBC News Swahili

Kwa miaka mingi, tumekuwa tukiambiwa ni hatari kutoka nje kwenye jua bila mafuta maalumu ya jua (Suynscreen). Lakini kiuhalisia miili yetu inahitaji mwanga wa jua.

5 days ago | [YT] | 17

BBC News Swahili

Je una gubu na unapenda kulalamika mara kwa mara? Hizi ndio athari zake kiafya. Pia unaweza kusoma zaidi www.bbc.com/swahili/articles/czj7wlrr73lo

5 days ago | [YT] | 31

BBC News Swahili

Takriban Waislamu bilioni 2 kote ulimwenguni wamekuwa wakisherehekea Eid al-Fitr, wengine wamesheherekea Machi 30 na wengine Machi 31, kuadhimisha mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.


Haya ni matukio machache katika Picha kuhusu siku kuu ya Eid al-Fitr.

1 week ago | [YT] | 64

BBC News Swahili

Ripoti ya hivi karibuni kuhusu muziki barani Afrika zinaonesha kwamba mapato kutoka kwa tasnia ya muziki yamekua kwa angalau asilimia 22 mwaka jana.Je, wasanii wenyewe wanafaidika? Ungana na Ronclif Odit na wasanii kutoka Kenya wakijadili uhalisia wa mambo

1 week ago | [YT] | 2

BBC News Swahili

Kuzuiliwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar kumevunja mkataba wa amani wa 2018 uliomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka mitano nchini humo, chama chake kimesema.


Je kukamatwa kwake kweli kunahitimisha makubaliano ya amani ya Sudan Kusini? Je Historia ya mzozo huu ulianzaje?

1 week ago | [YT] | 36

BBC News Swahili

Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG) ya mwaka wa fedha 2023/2024, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, imeonesha kuwa mashirika kadhaa ya umma bado yanaendelea kupata hasara.
Pia unaweza kusoma zaidi www.bbc.com/swahili/articles/c1w0r1p8011o

1 week ago | [YT] | 47