Waganda wanatarajia kupiga kura Alhamisi, tarehe 15 Januari, katika uchaguzi ambao utaamua kati ya kuendelea na utawala wa kiongozi aliyekaa madarakani kwa muda mrefu au kumchagua kiongozi mpya.
Rais Yoweri Museveni, mwenye umri wa miaka 81 na ambaye amekuwa madarakani tangu 1986, anatafuta ushindi wa uchaguzi wa saba mfululizo.
Mpinzani wake mkuu, nyota wa muziki Bobi Wine, mwenye umri wa miaka 43, ameahidi kufanya mageuzi makubwa na kuongoza kwa mtazamo mpya katika uongozi wa taifa hilo.
Mamlaka ya mawasiliano ya Uganda yameagiza kusitishwa kwa huduma za intaneti ya umma kote nchini kabla ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika wiki hii Januari 15. Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) inasema hatua hiyo inalenga kulinda usalama wa taifa na uadilifu wa zoezi la upigaji kura. Hata hivyo, wakosoaji wanasema uamuzi huo unadhoofisha uwazi na unakinzana na ahadi za awali zilizotolewa na serikali. - - #bbcswahili#foryou#uganda#uchaguziuganda2026#intaneti
Katika miaka mitatu iliyopita, Afrika imeona kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa milipuko ya zoonoses –magonjwa ya kuambukiza yanayotokana na kuambukizwa kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu.
Disemba 30, 2025 mjini Rabat, Morocco macho ya watanzania na hata Afrika Mashariki yatakuwa Stade Prince Moulay Abdellah Olympique Annexe. Kutaka kushuhudia Tanzania ikikipiga na Tunisia.
Ni mechi inayobeba zaidi ya alama tatu. Tanzania na Tunisia zinapambana si tu kwa kutaka kushinda tu bali kufuzu kutoka kundi C, kwa tiketi ya moja kwa moja kwenda hatua ya mtoano (16 bora) ya kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). www.bbc.com/swahili/articles/cvgrgv793k8o Pangusa kushoto kwa taarifa zaidi; - - #bbcswahili#michezo#AFCON2025#taifastars#tunisia
Tunawatakia kheri ya sikukuu ya Krismasi wasomaji na watazamaji wetu wakristo kutoka kote duniani. - Kwa habari zisizoegemea upande wowote tembelea BBCSwahili.com -
BBC News Swahili
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais wa Uganda 2026 yanavyoonyesha kwamba Rais Yoweri Museveni anaongoza kwa idadi ya kura zilizo hesabiwa, ikilinganishwa na wapinzani wake.
www.bbc.com/swahili/live/crml41j1ydgt
www.instagram.com/p/DTj-17SDRZx/?img_index=1
1 day ago | [YT] | 57
View 11 replies
BBC News Swahili
Morocco itachuana na Senegal katika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) itakayochezwa Jumapili! 🇲🇦🇸🇳
www.bbc.com/swahili/articles/cn8j4grr08ko
1 day ago | [YT] | 113
View 3 replies
BBC News Swahili
Waganda wanatarajia kupiga kura Alhamisi, tarehe 15 Januari, katika uchaguzi ambao utaamua kati ya kuendelea na utawala wa kiongozi aliyekaa madarakani kwa muda mrefu au kumchagua kiongozi mpya.
Rais Yoweri Museveni, mwenye umri wa miaka 81 na ambaye amekuwa madarakani tangu 1986, anatafuta ushindi wa uchaguzi wa saba mfululizo.
Mpinzani wake mkuu, nyota wa muziki Bobi Wine, mwenye umri wa miaka 43, ameahidi kufanya mageuzi makubwa na kuongoza kwa mtazamo mpya katika uongozi wa taifa hilo.
Hapa chini ni muhtasari wa mambo muhimu kuhusu uchaguzi huu kwa nambari:
-
-
#bbcswahili #uganda #ugandaelections2026 #siasa #uongozi
3 days ago | [YT] | 52
View 1 reply
BBC News Swahili
Mamlaka ya mawasiliano ya Uganda yameagiza kusitishwa kwa huduma za intaneti ya umma kote nchini kabla ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika wiki hii Januari 15.
Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) inasema hatua hiyo inalenga kulinda usalama wa taifa na uadilifu wa zoezi la upigaji kura.
Hata hivyo, wakosoaji wanasema uamuzi huo unadhoofisha uwazi na unakinzana na ahadi za awali zilizotolewa na serikali.
-
-
#bbcswahili #foryou #uganda #uchaguziuganda2026 #intaneti
3 days ago | [YT] | 132
View 26 replies
BBC News Swahili
Katika miaka mitatu iliyopita, Afrika imeona kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa milipuko ya zoonoses –magonjwa ya kuambukiza yanayotokana na kuambukizwa kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu.
Pangusa kushoto kuona baadhi ya magonjwa hayo:
www.bbc.com/swahili/resources/idt-a78ace57-b90d-4f…
#bbcswahili #magonjwa #zoonoses #maambukizi
1 week ago (edited) | [YT] | 76
View 4 replies
BBC News Swahili
Rais aliyeondolewa madarakani wa Venezula, Nicolás Maduro ambaye alikamatwa katika operesheni ya Marekani amefikishwa katika mahakama ya New York, Marekani, huku rais wa mpito wa Venezuela akitarajiwa kuapishwa
www.bbc.com/swahili/articles/cq6v28j27pgo
#bbcswahili #maduro #marekani #trump #venezuela🇻🇪 #dawazakulevya
1 week ago | [YT] | 96
View 7 replies
BBC News Swahili
Disemba 30, 2025 mjini Rabat, Morocco macho ya watanzania na hata Afrika Mashariki yatakuwa Stade Prince Moulay Abdellah Olympique Annexe. Kutaka kushuhudia Tanzania ikikipiga na Tunisia.
Ni mechi inayobeba zaidi ya alama tatu. Tanzania na Tunisia zinapambana si tu kwa kutaka kushinda tu bali kufuzu kutoka kundi C, kwa tiketi ya moja kwa moja kwenda hatua ya mtoano (16 bora) ya kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025).
www.bbc.com/swahili/articles/cvgrgv793k8o
Pangusa kushoto kwa taarifa zaidi;
-
-
#bbcswahili #michezo #AFCON2025 #taifastars #tunisia
2 weeks ago | [YT] | 161
View 17 replies
BBC News Swahili
Tunawatakia kheri ya sikukuu ya Krismasi wasomaji na watazamaji wetu wakristo kutoka kote duniani.
-
Kwa habari zisizoegemea upande wowote tembelea BBCSwahili.com
-
Pangusa kushoto kutazama ujume wa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya
-
-
-
#bbcswahili #krismas #tanzania #kenya #foryou
3 weeks ago | [YT] | 326
View 13 replies
BBC News Swahili
Serikali ya Tanzania yaijibu jamii ya kimataifa
www.bbc.com/swahili/articles/c4g9ek919keo
1 month ago | [YT] | 252
View 73 replies
BBC News Swahili
DRC na Rwanda watia saini mkataba wa amani
www.instagram.com/p/DR4SNe0jQAM/?img_index=1
1 month ago | [YT] | 116
View 12 replies
Load more