Naitwa sama voice ni msanii kutoka Tanzania ni msanii wa kizazi kipya nafanya kazi zangu na kuziweka katika channel hii naomba support yenu kwa Ku subscribe channel yangu na kusikiliza nyimbo zangu ili nuweze kuburudika nawapenda sana