#Ustawiwajamii DSM Digital

Ustawi wa Jamii DSM Digital – Kituo chako cha Habari, Elimu, Afya na Ustawi

Karibu kwenye channel rasmi ya Ustawi wa Jamii DSM Digital, Hapa tunakuletea taarifa, elimu, na mafunzo kuhusu Afya, lishe, Ustawi wa jamii na huduma za kijamii zinazolenga kuboresha maisha ya watu wote katika jamii.

Lengo letu ni kuhamasisha uelewa kuhusu Afya ya Akili, Ustawi wa Familia, na Huduma za kijamii, ili kujenga jamii yenye Afya bora, Usawa, na Maendeleo endelevu.

📺Vipindi vyetu vinahusisha:

•⁠ ⁠Elimu kuhusu huduma za kijamii na ustawi wa familia
•⁠ ⁠Ushauri wa afya ya mwili na akili
•⁠ ⁠Mafunzo na kampeni za kijamii
•⁠ ⁠Uhamasishaji kuhusu kinga na matibabu ya magonjwa
•⁠ ⁠Simulizi na mafanikio kutoka kwa maafisa Ustawi wa Jamii

Kaa karibu, pata elimu, na changia katika kujenga Jamii yenye Ustawi!

Usisahau kusubscribe, kushare, na kufuatilia kurasa zetu @ustawiwajamiidsmdigital kwa taarifa zaidi na vipindi vipya kila wiki.

“Ustawi wa Jamii DSM Digital – Kwa Jamii Yenye Ustawi”