G.fire msanii wa hip hop kutoka Dar es salaam Tanzania na pia ni member wa kundi la bongo unit ameachia track yake ya kwanza kama solo 'No stress'ni ngoma ambayo inazungumzia maisha ya kila siku mtaani enjoy.thanks no.0715123964 Email ibralema26@gmail.com