KANISA TVπŸ™πŸ’’, UTUME POPOTE ULIPO

Channel ya Kanisa TV ni Chanel ya Kanisa Katoliki Mahususi la kupeana taarifa mbalimbali za Kanisa Katoliki , zinazo tokea Jimbo kuu la Dar es salaam na Majimbo mengine ya jirani na ya nje ya nchi Karibuni sana tuinjilishe kwa pamoja na slogani yetu ni, Chanel Online your tube,

KANISA TV, Utume popote ulipo, Kama una Matukio Maadhimisho mbalimbali ya Sherehe za Kanisa yaani, Parokia, Jumuiya, Kanda, Ndoa na Misa za Shukrani, naombeni tuwasiliane ili nije kufanya coverage Utaniwezesha ili kuniunga mkono katika unjilishaji, Raha ya Utume KushirikishanaπŸ™πŸ’’

endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia
Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine
waweza kutupata kupitia mitandao ya
Dominic .L. Haule
0657793511
Ukihitaji Tukuhudumia huduma nitafute kupitia namba
0756379340 au 0657793511, hauledominic52@gmail.com

MT. DOMINIKO...UTUOMBEEE
ndie Msimamizi wa channel hii πŸ™πŸΏ