Neno JADI ni vyanzo vya kwanza vya kiutu hapa Duniani, kwa maana JA ni uwepo wa jinsia ya kwanza ya kiume kuumbwa na MUNGU hapa duniani ambaye ni Fumbakasa, na DI ni uwepo wa jinsia ya kwanza ya kike kiutu hapa duniani ambaye ni Mwasi, hivyo Jadi ni msingi wa elimu na maadili kutoka kwa mtu wa kwanza na mke wake. Kama ambavyo inavyofafanuliwa kwa usahihi kwenye zama hizi na Mcha MUNGU wa kweli ambaye ni SINGEMWAMBI TREZOLEY Mtu wa Mungu, na ndiye MWAMI LOKOKO na ROW WOMINIGE wa 786 Himu ya kuishi kwa waja, na ndio Row Wominige wa mwisho kwa muhula huu wa 71.
JADI YETU ni ukurasa unaofundisha elimu ya ukweli wa kuishi kiutu, na kweli kuhusu MUNGU na uumbaji, viumbe na mazingira kiujumla kwa ufasaha.
Kwa yeyote anayetafuta Ukweli kuhusu MUNGU na Ucha MUNGU ataupata katika ukurasa huu wa Jadi Yetu.
Mafunzo haya ya Jadi Yetu yanayotolewa na Mwami Lokoko yapo chini ya usimamizi wa Shirika la Maendeleo ya Kijamii Katika Asili na Tamaduni (SHIMKIATA).
Shared 1 week ago
439 views
Shared 2 weeks ago
458 views
Shared 3 weeks ago
683 views
KNOW THE ADVANTAGES AND DISADVANTAGES OF FOLLOWING THE LUBUMBA MWEKO SCHEDULE | KNOW THE IMPORTAN...
Shared 3 weeks ago
340 views
Shared 1 month ago
422 views
Shared 1 month ago
326 views
Shared 1 month ago
388 views
Shared 1 month ago
416 views
Shared 1 month ago
371 views
Shared 1 month ago
553 views
Shared 1 month ago
546 views
Shared 2 months ago
864 views
Shared 2 months ago
807 views
Shared 2 months ago
441 views
Shared 2 months ago
534 views
Shared 2 months ago
595 views
Shared 2 months ago
656 views
Shared 2 months ago
674 views
Shared 2 months ago
776 views
Shared 2 months ago
806 views
Shared 2 months ago
409 views
Shared 2 months ago
353 views
Shared 2 months ago
441 views
Shared 2 months ago
590 views
Shared 2 months ago
425 views
Shared 4 months ago
756 views
Shared 4 months ago
713 views
Shared 4 months ago
768 views
Shared 4 months ago
664 views
Shared 5 months ago
776 views
Shared 5 months ago
506 views
Shared 5 months ago
784 views
VIUMBE WATU KUASI KWA MUNGU, JE NI NINI HASA CHANZO CHAKE? UFAFANUZI WA KINA KATIKA TARATIBU YA JADI
Shared 6 months ago
680 views
Shared 6 months ago
988 views
Shared 6 months ago
634 views
Shared 6 months ago
267 views
Shared 6 months ago
424 views
Shared 7 months ago
406 views
Shared 7 months ago
623 views
Shared 7 months ago
518 views
Shared 7 months ago
365 views
Shared 7 months ago
281 views
Shared 7 months ago
272 views
Shared 7 months ago
327 views
Shared 7 months ago
278 views
Shared 8 months ago
826 views
Shared 8 months ago
418 views
Shared 8 months ago
422 views
Shared 8 months ago
301 views