Sifa Na Maabudu Songs

​"Karibu kwenye chaneli yetu ya 'Sifa na Maabudu Songs'! Hapa tutakuwa tukikushirikisha nyimbo nzuri za sifa na kuabudu kwa lugha ya Kiswahili, na nyimbo nyingine zitakuwa na mchanganyiko kidogo wa Kiingereza. Jiunge nasi tumtukuze Mungu pamoja."