Karibu kwenye channel rasmi ya Willybreeze! 🎶
Msanii wa Rap na Kuimba kutoka (Tanzania)🇹🇿 ,nipo hapa kuwakilisha muziki wa ukweli – wa hisia, mitindo, na ujumbe.
🔥 Hapa utapata:
• Ngoma kali za rap na mdundo wa kipekee
• Vibao vya kuimba vilivyojaa hisia
• Freestyle, mahojiano, na maisha ya msanii
• Collabo na wasanii wengine wa Afrika na dunia
📍 Nia yangu ni kuleta mabadiliko kupitia muziki – kutoka mtaa hadi jukwaa kubwa.
Usisahau kufanya SUBSCRIBE, bonyeza kengele 🔔 na kuwa sehemu ya familia ya #TeamBreeze