KANUNI NA MUONGOZO KWA WAFUATILIAJI WETU
Baharia TV inamilikiwa na kampuni ya BAHARIA MEDIA GROUP LTD.
Hiki ni chombo rasmi kwa ajili ya kutoa habari ndani na nje ya Tanzania, Habari za kisiasa, kiuchumi, Kijamii na michezo, tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:
A. Kuripoti habari za ukweli
B. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu
C. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
D. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi
MUONGOZO KWA WAFUATILIAJI WETU
A. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
B. Baharia TV ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali
C. Baharia TV ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote
D. Baharia TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni
Baharia TV
kula vitumbua
1 year ago | [YT] | 0
View 2 replies
Baharia TV
MDUDE Vs CHADEMA
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Baharia TV
UWAMU SACCOS wamewasha moto
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Baharia TV
CHADEMA
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Baharia TV
BAGONZA amlipua Dr. Shoo
1 year ago | [YT] | 1
View 0 replies
Baharia TV
CHADEMA WAWASHA MOTO
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Baharia TV
CHAULA ALIETEKWA Wanataka Mil 3, Wamwachie
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Baharia TV
MAKONDA NGORONGORO
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Baharia TV
SUGU aongea kwa Mara ya Kwanza baada ya kupigwa na polisi MBEYA
1 year ago | [YT] | 1
View 0 replies
Baharia TV
SIDO MBEYA
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Load more