SEKELA VET CENTER

SEKELA VET CENTER
inapatikana Iyunga, Mbeya.
Tunatoa huduma zifuatazo
1.Tunauza dawa, chanjo na vyakula vya mifugo:
2.Uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya mifugo
3. Chanjo na kinga: Tunatoa chanjo za kuzuia magonjwa hatari kwa mifugo
4. Upasuaji mdogo na mkubwa: Tunafanya upasuaji kwa wanyama mbalimbali.
5. Tunakupa ushauri kuhusu lishe bora, kuandaa formula na mbinu za ufugaji.
6. Huduma ya maabara ya mifugo

+255749227528
+255759227522
sekelavet@gmail.com