Welcome to MELI Investment Brokers
MELI Investment Brokers ni kampuni inayojihusisha na fursa za uwekezaji, biashara, na maendeleo ya miradi ndani na nje ya nchi.
Kupitia channel hii utapata maarifa, miradi, na fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta tofauti za uchumi.
Tunajihusisha na:
• Kununua na kuuza magari
• Kununua na kuuza viwanja na mali isiyohamishika (real estate)
• Kuagiza na kusafirisha bidhaa nje ya nchi (import & export)
• Kusimamia na kuratibu miradi ya uwekezaji
• Kilimo cha kisasa
• Ufugaji wa kisasa
• Ushauri na usimamizi wa uwekezaji
• Ubia wa biashara na kampuni pamoja na watu binafsi
Channel hii itaonyesha:
✔ Miradi ya uwekezaji
✔ Fursa za biashara
✔ Ushauri wa uwekezaji
✔ Safari za biashara na biashara za kimataifa
✔ Teknolojia na mashine za uzalishaji
✔ Mafanikio ya miradi ya uwekezaji
Lengo letu ni kuunganisha wawekezaji, wafanyabiashara na miradi yenye faida ili kujenga uchumi imara na fursa za maendeleo.
Subscribe sasa ujifunze kuhusu uwekezaji
Shared 2 months ago
25 views
Shared 2 months ago
26 views
Shared 2 months ago
77 views