KANUNI NA MUONGOZO

Msasa Media ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo tumejikita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Burudani kama filamu muziki, michezo, elimu na masuala mbalimbali ya jamii kwa ujumla.

Dawati la Uhariri Msasa Online linazingatia haya.

1. Kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini.
2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu.
3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja.
4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki.
5. Kufanya kazi kwa nidhamu na weredi.

Muongozo kwa watazamaji wetu

1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni.
2. Msasa Online inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea uvunjifu wa amani au kusababisha taharuki.
3. Msasa Online inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu.
4. Lugha chafu na zisizo na maadili haziruhusiwi.



Msasa Media

NIFFER AKIWA KWENYE JEZI ZA TAIFA STARS.....

9 hours ago | [YT] | 252

Msasa Media

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Washingtn Spirit upande wa wanawake Clara Luvanga amefanya mazoezi yake ya kwanza na timu hiyo tangu ajiunge alipotokea Al Nassr ya Saudi Arabia.

#MsasaKisasaZaidi

9 hours ago | [YT] | 23

Msasa Media

Timu ya taifa ya Mali itatumia jezi hii katika michuano ya kimataifa msimu huu wa Mashindano.

Ya njano ni ya nyumbani na nyeupe ni Ugenini.

#MsasaKisasaZaidi

9 hours ago | [YT] | 37

Msasa Media

ZAIYLISSA KATIKA UBORA WAKE....

10 hours ago | [YT] | 54

Msasa Media

DULLA MAKABILA NA MTOTO MZURI ILA WAMEENDANA JAMANI....

10 hours ago | [YT] | 20

Msasa Media

TANASHA DONNA KWENYE UBORA WAKE.....

10 hours ago | [YT] | 121

Msasa Media

AUNTY EZEKIEL NA KUSAH PENZI MOTO MOTO KILA SIKU..

10 hours ago | [YT] | 24

Msasa Media

KAJALA KATIKA UBORA WAKE.....

10 hours ago | [YT] | 109

Msasa Media

DIAMOND & DUPPY

12 hours ago | [YT] | 43

Msasa Media

Ukisoma Mkataba wa mzabuni wa jezi za timu ya taifa kuna kipengele kinata kila mwaka kukaa na kupitia performance yake! Nikaona hapo ndio kuna nafasi ya sisi kuboresha jezi zetu.

Jezi ya timu ya taifa sio tu vazi, ni kitu kinachoitangaza na kuitambulisha nchi! Kupitia jezi tunapaswa kuiuza nchi kupitia jezi yetu.

Jezi za timu zilizo tambulishwa ni mbaya! Huo ndio ukweli, hata wakizipiga dodoki vipi jezi ni mbaya.

- Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

15 hours ago | [YT] | 28