🌍 Welcome to the CMFI Tanzania (Christian Missionary Fellowship International) video platform, dedicated to sharing with the whole world the Good News of the Gospel of our Lord and Saviour Jesus Christ, as well as Biblical teachings to strengthen the Body of Christ as a whole. ✝️

🌍 Karibu kwenye jukwaa la video la CMFI Tanzania (Christian Missionary Fellowship International), lililokusudiwa kushiriki na ulimwengu wote Habari Njema ya Injili ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, pamoja na mafundisho ya Biblia kwa ajili ya kuujenga Mwili wa Kristo kwa ujumla. ✝️

πŸ“ Dar es Salaam, Goba
πŸ“ž +255 687 688 222, +255 716 417 688, +255 754 637 060,

πŸ‘‰ Subscribe and join us as we raise disciples for Jesus Christ! ✨