🔥 BIXBAMA | Official Channel 🔥
Karibu kwenye official YouTube channel ya BIXBAMA, msanii wa Bongo Flava anayekuja kwa nguvu mpya na style ya kipekee ya muziki unaogusa hisia na maisha ya kila siku.
Hapa utapata nyimbo mpya, audio rasmi, video za muziki, behind the scenes, na project mbalimbali kutoka kwa BIXBAMA chini ya label ya JYM – Jamii Ya Matozi.
🎶 Muziki wa ukweli
🔥 Story za maisha
💔 Mapenzi, hisia na reality ya mitaani
Subscribe ili usikose ngoma mpya kila zinapotoka na uwe sehemu ya safari ya BIXBAMA kuelekea juu kwenye game ya Bongo Flava.
📩 For bookings & business inquiries: [bixbama9@gmail.com]