Tujifunze Official

Habari: Channel hii imetengezwa mahususi ya kufundisha watoto wa darasa la kwanza hadi la tatu katika shule za msingi Tanzania. Lengo kuu nikuwafikia watoto wenye changamoti za usikivu ili kuwasadia kujifunza. Madhui ama katuni zilizo tengenezwa hapa zinasadia kufunidisha watoto wa aina zote. Tuna furahi sana kushirikiana na waalimu mbali mbali kufikisha elimu kwa jamii iliyosaulika kama jamii ya wenye usikivu hafifu.
Manono haya yanaweza tumika katika kupata nyimbo hizi:
Tujifunze Project, Tusome pamoja, nyimbo za watoto, hadithi za watoto, darasa la kwanza, darasa, shule, kusoma na kuandika, kuhesabu, hadithi, darasani


2:54

Shared 1 year ago

221 views

2:02

Shared 4 years ago

5K views

4:04

Shared 4 years ago

2.6K views

2:10

Shared 5 years ago

1.2K views

2:01

Shared 5 years ago

4.5K views

2:48

Shared 5 years ago

2.6K views

3:55

Shared 5 years ago

3.6K views