LASTBORN WA MUNGU


✨ KARIBU KWENYE CHANNEL YA LASTBORN WA MUNGU ✨

πŸ™Œ Mimi ni Isaac Mwasenga, maarufu kama Lastborn wa Mungu. Nimeokoka, nampenda YESU KRISTO na nimempokea kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.
🎢 Kazi yangu ni kuimba nyimbo za Injili zenye kugusa moyo, kuinua roho na kupeleka ujumbe wa wokovu kwa ulimwengu mzima 🌍.

➑️ Hapa utapata:

Nyimbo za Injili zenye baraka na kufariji moyo πŸ’–

Ujumbe wa matumaini na kuimarisha imani πŸ™

Muziki wa kipekee wenye kumtukuza Mungu pekee


🀝 Karibu ujiunge nami katika safari hii ya Injili kwa kushiriki, kuunga mkono na kusubscribe. Ushirikiano wako ni baraka kubwa kwa kazi ya Mungu.

πŸ“ž Mawasiliano: +255 764 459 200
πŸ’‘ Usisahau kubonyeza kitufe cha SUBSCRIBE na kengele πŸ›ŽοΈ ili usipitwe na nyimbo mpya.

✨ Mungu akubariki sana kwa kuwa sehemu ya safari hii ya Injili! ✨