Karibu kwenye channel ya July TZ! πΉπΏπ₯
Hapa utapata burudani ya kiwango cha juu kutoka Tanzania β kuanzia muziki, vichekesho, lifestyle, hadi matukio halisi ya kila siku. Lengo letu ni kukuonyesha maisha halisi ya Kitanzania kwa njia ya kuvutia, kufundisha na kuburudisha.
π Subscribe ili usikose:
Video mpya kila wiki
Stories za kusisimua
Content ya ubunifu na ya kipekee
Asante kwa support yako π
July TZ β Voice ya Mtaa!