SHINIZER TZ Ni kijana ambaye anashugulika na kazi ya Sanaa ambapo anahusika na kuigiza/kuimba pamoja na kazi nyinginezo:
Pia,anafanya kazi hiyo mwenyewe huku akiwa na studio yake yeye mwenyewe inaitwa SHINIZER RECORDS ambapo hiyo studio ndo anayofanya kazi zake zote.
Anafanya kazi ya uigizaji akiwa na group lake linaloitwa SHINIZER RECORDS ARTISTS GROUP kwenye Hilo group lake anafanya kazi zake za Sanaa.
Alizaliwa 11/11/2005 Mkoani MARA Wilaya ya TARIME Kata ya NYARERO Kijijini SORONETA katika familia ya Mzee EMMANUEL MWITA na mama REGINA EMMANUEL Katika familia ya Watoto Sita(6)
Huku akiwa mtoto wa kwanza kwenye Familia yake akifuatiwa na mtoto wa pili NEEMA EMMANUEL, PETER EMMANUEL, ELIAS EMMANUEL, DORICA EMMANUEL, SARAH EMMANUEL,
ROJA EMMANUEL MWITA kwa jina lake la kuzaliwa jina la Sanaa SHINIZER TZ alianza kazi za Sanaa akiwa kidato Cha pili wakati huo alikuwa akiimba mziki pekee akiwa anatumia jina la KHAN ROJA na amepitia katika vikundi vya mziki/na kuigiza tofauti tofauti
Shared 5 days ago
138 views
Shared 1 week ago
19 views
UPENDO WA MLEVI EP 02__(#funny #trendingvideo #memkwa #nyotanjema #huyu #music #lovestory #sports ##
Shared 2 weeks ago
212 views
UPENDO WA MLEVI EP 01 (#funny #trendingvideo #memkwa #nyotanjema #huyu #music #lovestory #sports ##)
Shared 1 month ago
293 views