*moga lee* ni msaniii aliyechipukia kutoka mtaani, akibeba ndoto kubwa na ujumbe halisi kupitiaa music 🎵
Kila ngoma ni hatua Moja mbele kwenye safari ya kutoka chini hadi kileleni.
Anaimba maisha mapenzi na changamoto --*hakuna kiki, ni kazi tu*
🎤*Hii ni journey ya jasho, damu na ndoto - karibu uishi NAMI"*
👉🏿 subscribe endelea kushuhudia hustle ikizaa matunda.
*📩mawasiliano:*
leemoga301@gmail.com
📞+255620442908
#mogalee #Realvibes #from the streets to the top
#Bongoflava
Shared 2 years ago
921 views