Karibu kwenye channel yako namba moja kwa burudani ya kweli!
Hapa utapata vichekesho vifupi (Shorts) vya kuvunja mbavu kila siku vitakavyokuburudisha na kukuondolea stress, pamoja na tamthilia kali na za kusisimua za Kiswahili zenye visa, mikasa, na mafundisho ya maisha.
Angalia hapa Tamthilia ya "LAST NAME" itakayoruka kuanzia tarehe 15/ 08/2026. tamthilia hii itakuwa inakujia mara mbili kwa wiki kwenye siku za jumamosi saa tatu kamili za asubuhi na jumatano saa tisa na robo za jioni.
Kama unapenda kucheka na kufuatilia hadithi nzuri za tamthilia kutoka Tanzania na Afrika Mashariki, basi upo sehemu sahihi.
Hakikisha Unasubscribe, unabonyeza alama ya kengele, na kushare na wenzako ili usipitwe na burudani kila tunapoweka video mpya!
Kwa Matangazo au Biashara, wasiliana nasi kupitia:
📧 Barua Pepe: mustaphajumanne@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +255 655 944 804
Asante kwa upendo na sapoti yako!
Shared 1 month ago
146 views