Karibu kwenye ulimwengu wa Hadithi .
Utaweza kusikiliza hadithi za kale za Kiafrika, kwa taswira zenye kuvutia.Hasa simulizi za utamaduni wa watu wa Tanzania.
Ikiwa wewe ni mpenzi wa hadithi za kale, au tu unatafuta hadithi ya kuvutia, Hadithi za Tanzania zina kitu kwa kila mtu. Utapata kusikiliza :
Hadithi za Kichawi:Utapata hadithi za miungu ya kale, roho, na viumbe vya ajabu vilivyoathiri imani za Tanzania.
Hadithi za Mashujaa: utasikiliza hadithi za mashujaa maarufu, ambao ujasiri na werevu wao umevutia vizazi vingi.
Hadithi za Wanyama: Furahia vituko vya werevu vya wanyama.
Pia utapata kusikiliza hadithi za mila, tamaduni, na maadili ya Kitanzania
Usisahau kusubscribe na kulike channel hii kwa hadithi nzuri
SIMULIZI LEO
VIDEO MPYA BONYEZA HAPA KUITIZAMA💥
https://youtu.be/uGy4i1CRoZk?si=9PaTL...
1 year ago (edited) | [YT] | 48
View 1 reply
SIMULIZI LEO
ALIPELEKA CHUPI ZA WANAKIJIJI KWA MIZIMU ILI APATE UTAJIRI LAKINI LAANA HIYO INAMTESA MAISHA YAKE, BONYEZA HAPA KUITIZAMA
https://youtu.be/-BdOIPSxswc?si=AewlC...
1 year ago | [YT] | 28
View 2 replies
SIMULIZI LEO
MAAJABU ANA UUME WA NYOKA ðŸ˜
BONYEZA HAPA👇👇👇 KUITAZAMA
https://youtu.be/UN1fzn4auP8?si=QO6Yj...
1 year ago | [YT] | 106
View 0 replies
SIMULIZI LEO
JIUNGE NA GROUP LETU LA SIMULIZI, 👇👇 chat.whatsapp.com/CT5dVPCwjOUI6fd3j65jfh
1 year ago (edited) | [YT] | 121
View 0 replies
SIMULIZI LEO
MAMA WA KAMBO ALIMTUPA MTONI ILI ASIPATE URITHI https://youtu.be/r6h66jwiwEw?si=yRXG1...
1 year ago | [YT] | 39
View 3 replies