Karibu kwenye ulimwengu wa Hadithi .
Utaweza kusikiliza hadithi za kale za Kiafrika, kwa taswira zenye kuvutia.Hasa simulizi za utamaduni wa watu wa Tanzania.
Ikiwa wewe ni mpenzi wa hadithi za kale, au tu unatafuta hadithi ya kuvutia, Hadithi za Tanzania zina kitu kwa kila mtu. Utapata kusikiliza :
Hadithi za Kichawi:Utapata hadithi za miungu ya kale, roho, na viumbe vya ajabu vilivyoathiri imani za Tanzania.
Hadithi za Mashujaa: utasikiliza hadithi za mashujaa maarufu, ambao ujasiri na werevu wao umevutia vizazi vingi.
Hadithi za Wanyama: Furahia vituko vya werevu vya wanyama.
Pia utapata kusikiliza hadithi za mila, tamaduni, na maadili ya Kitanzania
Usisahau kusubscribe na kulike channel hii kwa hadithi nzuri