Jukwaa lako la Kuujua Uislamu

Hapa utapata tafsiri za Qur'an, mafunzo na Sunna za Mtume Muhammad (SAW), dua mbalimbali za kila siku, na maarifa mengine muhimu katika Uislamu. Tunakusudia kukuletea elimu itakayokusaidia kuboresha maisha yako kwa misingi ya Kiislamu. Pia, kupitia chaneli hii, utajulishwa fursa mbalimbali zinazoibuka katika jamii zetu zenye manufaa kwa maisha na dini yetu.

Usisahau kusubscribe, kushare, na kueneza chanel hii ili wengine nao wajifunze. Karibu tuujue Uislamu. Wahadhasalamu Alaikum!


8:13

Shared 6 months ago

174 views