Hapa nakufundisha jinsi ya kugeuza mapishi yako kuwa biashara yenye kipato endelevu. Utajifunza kupika na kupamba keki, kutengeneza ice cream za biashara, kupata mentorship ya food business, na kujenga biashara yako kutokea jikoni kwako.

Napatikana Tegeta Kwa Ndevu karibu na Chuo Cha Mzumbe
Mawasiliano ; 0718-553-999


Lily Anapika

Madarasa ya Mwezi wa 4 ni haya hapa 👇 Lipia sasa hivi kuwahi nafasi yako mapema

9 months ago | [YT] | 3

Lily Anapika

Unauza chakula kutokea nyumbani lakini wateja wanakuja mara moja tu na kupotea? 😩 Hii ni ishara kwamba kuna kitu UNAKOSEA! 😳 Comment "BIASHARA" kama unataka kujiunga na darasa hili

9 months ago | [YT] | 3