Hapa nakufundisha jinsi ya kugeuza mapishi yako kuwa biashara yenye kipato endelevu. Utajifunza kupika na kupamba keki, kutengeneza ice cream za biashara, kupata mentorship ya food business, na kujenga biashara yako kutokea jikoni kwako.

Napatikana Tegeta Kwa Ndevu karibu na Chuo Cha Mzumbe
Mawasiliano ; 0718-553-999


4:06

Shared 2 months ago

117 views

1:28

Shared 7 months ago

235 views