馃憫馃憫鈿解毥MFALME WA SOKA imejikita kutoa taarifa za Michezo na Burudani, pamoja na mahojiano maalumu na Wanamichezo mbalimbali.

馃敟馃敟 馃憫馃憫鈿解毥MFALME WA SOKA ni Chaneli inayofanya kazi kwa Weledi na kufuata sheria za nchi na imesajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia sheria ya Huduma za habari.

馃檹馃Tafadhali馃檹Subscribe MFALME WA SOKA ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.