Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

#voaswahili

Voice of America - Swahili
330 Independence Ave., SW
Washington, D.C. 20237

Email: voaswahili@voanews.com


VOA Swahili

Rais wa Marekani Joe Biden ametaka kumalizwa kwa ghasia za kisiasa baada ya shambulio katika mkutano wa hadhara wa mgombea wa Republican Donald Trump huko Pennyslvania mapema Jumamosi, akisema katika matamshi yake kwa njia ya televisheni kwamba rais wa zamani inaonekana anaendelea vizuri.
Pia Rais Biden amevitaka vyombo vya ulinzi Marekani kuhakikisha kunapatikana kwa haraka taarifa zaidi ya tukio hilo.


#voaswahili #ghasiazakisiasa #biden #trumph

9 months ago (edited) | [YT] | 5