WORSHIP AFRICA ni chaneli ya injili inayolenga kueneza worship & praise ya kweli kutoka Afrika na duniani kote.
Lengo letu ni kuwaleta watu karibu na Mungu kupitia nyimbo za ibada, sifa, maombi, na huduma za kiroho zilizojaa upako wa Roho Mtakatifu.
Katika chaneli hii utapata:
🎶 Nyimbo za Worship & Praise
🙏 Maombi ya kina
🎤 Live worship sessions
🌍 Huduma za waimbaji wa injili kutoka Afrika
✝️ Neno na kutafakari (meditation)
Tunaamini worship hubadilisha maisha na kuleta uwepo wa Mungu.
Subscribe, like, na share ili kufikia watu wengi zaidi kwa ajili ya Utukufu wa Mungu.
📩 Kwa mawasiliano na huduma:
Email: (m8.worshipafrica@gmail.com)