Kibox Media ni Channel Mahususi Kwa kufanya Movie Review | Movie Analysis & Prediction Pamoja na Kukosoa Makosa Katika Filamu/ Series.

Dhumuni Kubwa la Kufanya Review & Prediction au Bashiri ni Kuifanya Kazi ya Sanaa Isipoe na Kuwafikia Wengi Zaidi kwa Kuwapa Maswali kadhaa Juu ya kile ambacho kinadhaniwa chaja kutokea katika Mifululizo ya Series.

Kibox Media Inamilikiwa na Timoth Fimbo | Journalist | ( Mwandishi wa Habari ) Anae Jikita katika Kufanya Review za Bongo Movies /Series za Tanzania.

Kama Mmiliki Wa Clip Za Video Zilizotumika Zitakuwa Zimevunja Maadili Katika Kutumika Tunaomba Uwasiliane Nasi Kupitia Email www.kiboxmedia@gmail.com & Ads Business

Copyright Disclaimer | Under Section 107 of The Copyright Act 1976, Allowance is Made for Fair use For Purpose Such as Criticism, Commenting, News, Reporting, Teaching, Scholarship, and Research (25).