Karibu kwenye channel ya Ismail abdoul jina maarufu #mjanjawakiwanja
Tunakuletea elimu ya Kiislamu, mahojiano na Masheikh wa Dzaleka, pamoja na utafiti wa kijamii mtaani. Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuonesha uhalisia wa maisha ya jamii yetu.

Tuunge mkono katika safari ya elimu, imani na maendeleo ya jamii!

Wasiliana nasi:
+265 894 990 744 / +265 986 246 260
ismailabdoul230@gmail.com
Tupo Dzaleka, Malawi

Subscribe kwa maarifa, imani na sauti ya jamii


5:23

Shared 10 months ago

32 views