Mchuchuma TV ni channel ya mtandaoni inayojihusisha na utoaji wa elimu kwa jamii kupitia *video na sauti*.
Channel hii inalenga kuelimisha, kuhamasisha na kuburudisha jamii kwa kuangazia masuala mbalimbali muhimu yakiwemo:

* Kilimo na ufugaji(Lengo kuu)
* Maendeleo ya jamii
* Utunzaji wa mazingira



๐Ÿ‘‰ Karibu sana kujiunga na familia ya *Mchuchuma TV Online*.
Tafadhali *usisahau kubonyeza Subscribe*, kisha *alama ya kengele* ili kupata taarifa kila tunapotoa video mpya.
Pia *Like, Comment na Share* video zetu ili kutusaidia kufikisha elimu kwa watu wengi zaidi.

๐Ÿ“ž *Wasiliana nasi:*0628 710 325

Asante kwa kutuunga mkono๐Ÿ™


www.instagram.com/mchuchuma_tv?igsh=dndsYTMwNmY3NHโ€ฆ