I listen to Chanzo daily it's an inspiration song, be blessed beyond measure, you are such a blessing
4 years ago | 4
I thank GOD for putting this song to minister to many hearts God bless you💗
4 years ago | 1
Hii ingekua Kenya ningeshuhudia. Tunakupenda sana and your song has been my inspiration for the past 3 months. Mungu akuzidishie Neema
4 years ago | 2
Huu wimbo chanzo,,,unanitoa machozi kila ninapouimba,,,ubarikiwe sana,,
4 years ago | 1
Rehema Simfukwe
Shalom Fam
Yeye aliye Chanzo ametupa neema ya kuandaa ibada #OctobaMosi mwaka huu, Kipekee ninakukaribisha ili kwa pamoja tumfanyie Mungu wetu aliye Halisi ibada ya kumpendeza!
🎼SaveTheDate🎼
#01_October_2021
#LiveRecording
#ChanzoAlbamRec
#HalisiWorshipExperience
4 years ago | [YT] | 165